Artwork stating 'Education Destroys Barriers', 'We Demand Treatment', and 'I Need A Chance'

Search Results

You searched for: -

There are 4 results  for your search.  View and Refine Your Search Terms

  • Mradi wa Skills Mtaani waboresha elimu kwa Vijana Mombasa

    Ili kuwaepusha vijana kujiunga na uhalifu na kuzama kwenye mihadarati kutokana na kukosa nafasi za kuendelea na masomo, mradi wa ujuzi wa mtaani katika eneo bunge la Mvita kaunti ya Mombasa umesaidia zaidi ya vijana 11,000 kujiunga na shule za ufundi stadi na kuwapa ujuzi wa kujikimu kimaisha. Mradi huo unawalenga vijana waliomaliza darasa la nane na kidato cha nne ambao hawawezi kuendelea na masomo kwa sababu ya umaskini.

    Read More

  • Mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative' Wasaidia Wanafunzi Kwale

    Mradi wa serikali ya Kaunti ya Kwale iitwayo "Elimu ni Sasa" imewawezesha zaidi ya watoto 32,000 wanaofanya vyema na hawawezi kulipa karo kupata elimu. Kupitia kwa bajeti ya kaunti, watoto werevu ambao ni mayatima ama wanatoka kwa familia maskini wanahifadhiwa kujiunga na shule ya upili na kulingana na jinsi wanavyotia bidii wanasomesha hadi chuo kikuu.

    Read More

  • Wenye Akili Punguani Wapona Mombasa Part 2

    Kwenye kipindi hiki cha pili, waliosaidika kutokana na hatua za shirika la kijamii Mombasa kunasua walio na akili punguani kutoka kwa hali hiyo wanashuhudia usaidizi walippokea. Kupitia matibabu maalum na makao matulivu wanapopokea mafunzo ya dini, usafi na jinsi ya kurejea kwa maisha ya kawaida, wameweza kutengamana tena na jamii na kupata ajira ilhali wengine ata wameanzisha familia jambo ambalo hawakuwa wanaweza tekeleza mbeleni.

    Read More

  • Wenye Akili Punguani Wapona Mombasa Part 1

    Shirika la kijamii Mombasa limesaidia zaidi ya watu hamsini walio na akili punguani kupona na kurejea kwa hali ya kawaida. -Kupitia matibabu maalum na makao matulivu wanapopokea mafunzo ya dini, usafi na jinsi ya kurejea kwa maisha ya kawaida, wengine wameoa na wengine wakapata ajira.

    Read More