Mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative' Wasaidia Wanafunzi Kwale


Mradi wa serikali ya Kaunti ya Kwale iitwayo "Elimu ni Sasa" imewawezesha zaidi ya watoto 32,000 wanaofanya vyema na hawawezi kulipa karo kupata elimu. Kupitia kwa bajeti ya kaunti, watoto werevu ambao ni mayatima ama wanatoka kwa familia maskini wanahifadhiwa kujiunga na shule ya upili na kulingana na jinsi wanavyotia bidii wanasomesha hadi chuo kikuu.

Related Stories