Back

Uangalizi wa Uanahabari wa Suluhisho za Kiswahili

Kikundi cha Uanahabari wa Suluhisho kina wasimulizi wa hadithi kutoka kote duniani wenye talanta na ujuzi ya kueleza hadithi za suluhisho zinazotumika kukabiliana na matatizo ya kijamii. Hadithi hizi ambazo zimetungwa kwa lugha ya Kiswahili zinaonyesha jinsi jamii mbali mbali zinatia juhudi kujenga dunia bora kwa kuimarisha afya, kilimo na haki za binadamu kupitia teknolojia na muungano. Hapa chini utapata mkusanyiko wa hadithi zilizoangaziwa za Kiswahili na kuweza kuwatambua wanahabari muhimu ambao wamechangia hadithi hizi.

Kutafuta hadithi za Kiswahili, bonyeza hapa!

Featured Story

Featured Collections

Newest Stories