Mradi wa Skills Mtaani waboresha elimu kwa Vijana Mombasa


Ili kuwaepusha vijana kujiunga na uhalifu na kuzama kwenye mihadarati kutokana na kukosa nafasi za kuendelea na masomo, mradi wa ujuzi wa mtaani katika eneo bunge la Mvita kaunti ya Mombasa umesaidia zaidi ya vijana 11,000 kujiunga na shule za ufundi stadi na kuwapa ujuzi wa kujikimu kimaisha. Mradi huo unawalenga vijana waliomaliza darasa la nane na kidato cha nne ambao hawawezi kuendelea na masomo kwa sababu ya umaskini.

Related Stories