Jinsi Homa ya Chikungunya ilivyokabiliwa Mombasa Part - 1


Kufuatia mkurupuko wa homa ya Chikungunya kaunti ya Mombasa, serikali ya kaunti iliweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na mkurupuko huo. Ikiwa ni pamoja na utumizi wa magari ya kupuliza dawa kuua mbu.Magari 5 yalitumiwa katika zoezi hilo ambapo yalizunguka maeneo bunge yote 6 kaunti ya moja kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Related Stories