Conquer Bilharzia in Lake Zone


Dawa za tiba kinga zinasaidia kupunguza madhara ya ugonjwa wa kichocho katika kizazi kipya maeneo ya Lake zone nchini Tanzania. Serikali inakinga watoto kutokana na madhara za ugonjwa huu kupitia mradi wa kupeana dawa za Prazequantel na albendazole bure katika shule za msingi na zahanati. Licha ya haya, wanafunzi pia wanapewa maji safi ya kunywa mashuleni ili kuwaepusha na maambukizo mapya.

Related Stories